Senior Accountant Contract
Dar Es Salaam • Posted 2025-09-20 13:29:53
Lolc Tanzania Financial Services is a highly reputable financial institution and currently we are looking for an experienced, committed Senior Accountant.
Wateja Wapendwa,
Tunayo furaha kuwajulisha kwamba, kwa idhini ya Benki Kuu ya Tanzania na usajili katika Mamlaka ya Usajili na Leseni za Biashara (BRELA), jina la kampuni yetu limebadilishwa rasmi. Awali tulikuwa tukifanya kazi chini ya jina Tujijenge Tanzania Financial Services Limited, lakini kuanzia tarehe 1 Novemba 2024, kampuni itajulikana rasmi kama LOLC Tanzania Financial Services Limited.
Tafadhali kumbuka kwamba isipokuwa mabadiliko ya jina, hakuna mabadiliko yoyote katika shughuli zetu za biashara, bidhaa, au huduma. Tunaendelea kujitolea kuwahudumia kwa ari na ubora ule ule.
Dar Es Salaam • Posted 2025-09-20 13:29:53
Lolc Tanzania Financial Services is a highly reputable financial institution and currently we are looking for an experienced, committed Senior Accountant.