
Gari Express ni mkopo unaosaidia kulipia magari yaliyotumika hapa Tanzania yawe kwa matumizi binafsi au biashara. Tunatoa hadi 65% ya thamani ya Forced Sale, kukupa urahisi wa kupata gari unalotaka kwa gharama ndogo ya awali.
Mchakato wetu ni wa haraka, mkopo huu ni bora kwa watu wanaohitaji urahisi, kasi na unafuu. Marejesho ni ya kubadilika kutokana na mud awa mkopo.
i. Vigezo vya kupata Mkopo
- Raia wa Tanzania kati ya umri wa miaka 18 hadi 65.
- Wafanyakazi waliothibitishwa wa taasisi za umma na binafsi.
- Wajasiriamali binafsi na wataalamu.
- Wafanyabiashara na makampuni.
ii. Sifa za Mkopo
- Mkopo hadi 65% ya thamani ya Forced Sale ya gari.
- Marejesho hadi miezi 36.
- Riba za ushindani.
- Pata funguo zako ndani ya saa 72 baada ya kuwasilisha nyaraka.
- Mkopo hadi TZS 100,000,000.
Apply Your Loan Now
Determine your repayment plan using this simple loan calculator.
Selected: 3 months