
Kama mmiliki wa biashara, kukosa mtaji wa kufanya kazi kunaweza kukatisha tamaa, mkopo wa Biashara unaweza kusaidia. Ni njia bora ya kupata fedha unazohitaji kupanua biashara bila kutumia akiba zako.
Mkopo huu umeundwa kuongeza mtaji wa biashara, kuajiri wafanyakazi wapya, kutanua eneo la biashara, au kununua vifaa vipya ili kuongeza faida ya biashara yako.
i. Vigezo vya kupata mkopo
- Raia wa Tanzania kati ya miaka 20 na 65.
- Leseni halali ya biashara.
- Mapato ya kutosha kulipa mkopo.
- Biashara iliyosajiliwa, yenye umiliki kamili na cheti cha kodi (Tax Clearance).
- Kuwa mkazi wa Dar es Salaam au Mwanza.
ii. Sifa za Mkopo
- Biashara lazima iwe inafanya kazi.
- Mkopo hadi TZS 150,000,000.
- Marejesho hadi miezi 36.
- Riba za ushindani.
- Pata mkopo ndani ya saa 72 baada ya kuwasilisha nyaraka.
Apply Your Loan Now
Determine your repayment plan using this simple loan calculator.
Selected: 3 months