
Mkopo wa Binafsi ni suluhisho rahisi kwa mahitaji yako ya binafsi – iwe ni ada ya shule, matibabu, ukarabati wa nyumba, malengo binafsi au matumizi mengine.
Kwa riba nafuu na marejesho ya kulipa yanayobadilika kuendana na muda wa mkopo. Mkopo huu unakupa nafasi ya kifedha bila presha.
Haijalishi ndoto au changamoto yako ni ipi, Mkopo Binafsi upo kwa ajili yako.
i. Vigezo vya kupata mkopo
- Raia wa Tanzania kati ya miaka 18 hadi 65.
- Wafanyakazi waliothibitishwa wa taasisi za umma na binafsi.
- Wajasiriamali binafsi na wataalamu.
- Kuwa mkazi wa Dar es Salaam au Mwanza.
ii. Sifa za Mkopo
- Ufadhili hadi TZS 100,000,000.
- Marejesho hadi miezi 36.
- Riba za ushindani.
- Pata mkopo ndani ya saa 72 baada ya kuwasilisha nyaraka.
Apply Your Loan Now
Determine your repayment plan using this simple loan calculator.
Selected: 3 months