
Kumiliki gari huongeza kujiamini kwako. Kupitia Mkopo wa Gari wa LOLC Tanzania, unaweza kulipiwa hadi 65% ya thamani ya gari na kulipa marejesho kwa muda wa hadi miezi 36.
Tunakulipia magari mapya na yaliyotumika kutoka nje ya nchi. Mchakato ni wa haraka, riba ni nafuu, na huduma zetu ni bora. Onyesha tu uwezo wako wa kurejesha mkopo na unaweza kuwa barabarani ndani ya siku 3.
"ACHA KUOTA, ENDESHA SASA"
i. Vigezo vya kupata mkopo
- Raia wa Tanzania kati ya umri wa miaka 18 hadi 65.
- Wafanyakazi waliothibitishwa wa taasisi za umma na binafsi.
- Wajasiriamali binafsi na wataalamu.
- Wafanyabiashara na makampuni.
ii. Sifa za Mkopo
- Mkopo hadi 65% ya thamani ya gari.
- Marejesho hadi miezi 36.
- Riba za ushindani.
- Pata funguo zako ndani ya saa 72 baada ya kuwasilisha nyaraka.
- Mkopo hadi TZS 150,000,000.
Apply Your Loan Now
Determine your repayment plan using this simple loan calculator.
Selected: 3 months