Usimamizi wa Biashara & Ushauri wa Kifedha
LOLC Tanzania, programu zetu za mikopo ya kibiashara haziishii tu kwenye ufadhili; tunawawezesha wajasiriamali kwa maarifa na nyenzo zinazohitajika ili kuharakisha ukuaji na kudumisha mafanikio.
Wateja Wapendwa,
Tunayo furaha kuwajulisha kwamba, kwa idhini ya Benki Kuu ya Tanzania na usajili katika Mamlaka ya Usajili na Leseni za Biashara (BRELA), jina la kampuni yetu limebadilishwa rasmi. Awali tulikuwa tukifanya kazi chini ya jina Tujijenge Tanzania Financial Services Limited, lakini kuanzia tarehe 1 Novemba 2024, kampuni itajulikana rasmi kama LOLC Tanzania Financial Services Limited.
Tafadhali kumbuka kwamba isipokuwa mabadiliko ya jina, hakuna mabadiliko yoyote katika shughuli zetu za biashara, bidhaa, au huduma. Tunaendelea kujitolea kuwahudumia kwa ari na ubora ule ule.
Nyumabani > Huduma Zetu > Usimamizi wa Biashara & Ushauri wa Kifedha