Huduma za Kibenki Kupitia Simu
Tangu mwaka 2009, wateja wetu wamekuwa na uwezo wa kufanya amana kupitia simu zao za mkononi. Wateja wa LOLC Tanzania wanaweza kutumia huduma za M-Pesa na Mixx By Yas kulipa marejesho wakati wowote na popote walipo.
Wateja Wapendwa,
Tunayo furaha kuwajulisha kwamba, kwa idhini ya Benki Kuu ya Tanzania na usajili katika Mamlaka ya Usajili na Leseni za Biashara (BRELA), jina la kampuni yetu limebadilishwa rasmi. Awali tulikuwa tukifanya kazi chini ya jina Tujijenge Tanzania Financial Services Limited, lakini kuanzia tarehe 1 Novemba 2024, kampuni itajulikana rasmi kama LOLC Tanzania Financial Services Limited.
Tafadhali kumbuka kwamba isipokuwa mabadiliko ya jina, hakuna mabadiliko yoyote katika shughuli zetu za biashara, bidhaa, au huduma. Tunaendelea kujitolea kuwahudumia kwa ari na ubora ule ule.
Nyumabani > Huduma Zetu > Huduma za Kibenki Kupitia Simu